Burudani

Povu la Nay Wa Mitego kuhusu kifo cha Bongo Fleva

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Msanii maarufu wa Rap/HipHop na Bongo Fleva Nay Wa Mitego ametoa kauli kali kuhusu mfumo unaotumika na wasanii maarufu kutangaza kazi zao unaifahamika kama KIKI Nchini Tanzania nakusema ndio utakuwa chanzo cha kifo cha Bongo Fleva

kupitia IG Yake Nay wa Mitego aliandika >Baada Ya Miaka Miwili Mitatu Ijayo Tukiendelea na Huu Ujinga, Naiona Bongo Flava Ikiingia Shimoni Kama Wenzetu Wa BongoMovie😡.! Kick Kubwa Kuliko Muziki Wenyewe. Yani Muziki Unasindikiza Kick🖕🏽. Baada Ya Kick Kusindikiza Mziki Mkubwa.! #NguvuYaKitaa 
Tukutane #TanganyikaPacker’s

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open