Burudani

Nahreel atangaza rasmi kuwa mpenzi wake, AIKA ni mjamzito

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Msanii wa Producer wa The Industry Nahreel ametangaza rasmi kuwa mpenzi wake na msanii mwenzake wa kundi la Navy Kenzo ‘Aika’ ni mjamzito na kwamba wanategemea kupata mtoto wao wa kwanza.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open