Burudani

Nas alalamika kunyimwa nafasi ya kumuona mtoto wake

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Msanii wa HipHop Nas amelalamika hivi karibuni kuwa Ex wake Kelis anambania nafasi ya kumuona mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 8, Knight Jones.

Nas amekuwa akijaribu kupata nafasi ya kumuona mtoto wake mara kwa mara ila Kelis amekuwa mgumu kumpa nafasi hio na kila mwaka hali hii inazidi kuwa mbaya,

Nas amesema yuko tayari kwenda mahakamani tena kuhakikisha anapata muda na mwanae.

Nas na Kelis walikuwa kwenye ndoa kwa miaka mitano tu

Kelis Ex Wa Nas

#StoriBy Melisa #SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open