Burudani

Nas na Nicki Minaj wamekuwa pamoja kwa siri toka mwezi wa tano

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Taarifa kutoka kwenye blog za udaku USA zinasema Nas na Nicki Minaj wamekuwa pamoja kwa siri toka mwezi wa tano mwaka huu, mahusiano yao ni ya siri sana , hukutana sehemu ambazo mastaa na mapaparazzi hawafiki.

Hizi picha zao pamoja weekend hii kwenye birthday ya Nas, walipiga picha wakiwa na The illmatic 1988 190E Benz.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open