Burudani

Dada aliyelalamika kubakwa na Nelly ameelezea tukio lilivyotokea

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mwanamke aliyelalamika kubakwa na rapa Nelly ameelezea tukio hilo lilivyotokea kwenye tour Bus la Nelly.

Dada huyu anasema “Nilipelekwa kwenye bus la Nelly, nilikuwa kwenye chumba na Nelly katika bus hilo,  alijaribu kufanya ngono na mimi kwa nguvu bila kutumia kinga, nilikata na Nelly akaniambia KAAKIMYA, alinifanyia ngono bila mimi kutaka, baadae alitaka kunipa pesa nikagoma kupokea, mwanamke mwingine alikuja na kunitoa kwenye bus hilo huku akinirushia dola 100′.

Mpaka sasa uchunguzi unaendelea juu ya tukio hili la Ubakaji baada ya Nelly kuhojiwa.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open