Burudani

Ne-Yo ametangaza kuacha kula vyakula vya Nyama baada ya kutazama documentary ya maswala ya afya

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Staa wa RnB Ne-Yo ametangaza kuacha kula vyakula vya Nyama baada ya kutazama documentary ya maswala ya afya ya What the Health, sasa atakuwa anatumia vyakula vya mboga mboga tu.

Neyo anasema ‘Asanye kwa makala ya What the Health nimeamua kuwa vegetarian,naomba mashabiki mnitumie aina ya vyakula vya mboga vizuri ninunue sababu niko sokoni sasa”.

Makala hii ya What the Health, imepingwa na watu wengi na kusema wamepotosha jamii juu ya madhara na faida za vyakula tofauti.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open