Burudani

Ne-Yo na mke wake Crystal Smith wamethibitisha kutegemea kupata mtoto wa pili

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Ne-Yo na mke wake Crystal Smith wamethibitisha kutegemea kupata mtoto wa pili.

Mtoto wa kwanza kwenye ndoa yao alizaliwa mwaka jana, mtoto wa kiume Shaffer Chimere, Neyo na mke wake wamesema ‘Tuna furaha kubwa, haukuwa mpango wetu ila ulikuwa mpango wa mungu’.

Jinsia ya mtoto haijatajwa mpaka sasa

Huyu atakuwa mtoto wa nne kwa Neyo ambaye kwa sasa anajipanga kutoa album mpya Good Man

#StoriBy Melisa On #SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open