Burudani

Mwigizaji maarufu Nigeria Aki afungua lebo za muziki Nigeria.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mwigizaji maarufu Nigeria Aki Aka PawPaw amejiunga kwenye orodha kubwa ya watu maarufu wanaomiliki lebo za muziki Nigeria.

Kama Davido, Mr Fleva, P Sqaure, WizKid, Don Jazzy na sasa msanii wa filamu aliyejulikana zaidi kupitia kazi yao ya Aki na Ukwa amefungua lebo ya kusamimaia wasanii itakayojulikana kama “Young Boss Records”.

Staa huyu wa Nollywood Osita Iheme aka PawPaw, ametangaza rasmi lebo hii ya “Young Boss Record“ na kusema inawasanii wawili ambao ni Barrister Max na Charisma.

Paw anasema lebo hii ni njia yake ya kurudisha baraka alizopewa na Mungu kwa jamii yake na kusaidia vijana.

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open