Burudani

Pop staa Bruno Mars azungumzia chimbuko lake na ubaguzi wa rangi Marekani

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mwimbaji Bruno Mars amenyoosha maelezo juu ya chimbuko lake baad aya kuibuka maswali ya anapotoka staa huyu na majina yake kamili.

Peter Gene Hernandez aka Bruno Mars amezaliwa Honolulu, Hawaii ila baba yake anatoka Puerto Rico. Jina Bruno Mars limetokana na mcheza mieleka maarufu BRUNO na MARS limetokana na uwezo mkubwa wa kuimba uliomfanya aonekane sio wa dunia hii.

Kuhusu swala zima la ubaguzi wa rangi, Bruno Mars amesema jambo hili limekuwa nchini Marekani kwa muda mrefu na anashanga kuliongelea jambo hili mwaka 2017.

Bruno pia alisema kifo cha mama yake kilimumiza sana na kwamba kama ingekuwa uamuzi wake angeweza kubadilishana na muziki ili tu kurudishiwa mama yake.

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open