Burudani

Umegundua Chris Brown anafanya colabo nyingi,hivi ndivyo anavyofaidika nazo.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rnb staa Chris Brown ni miongoni mwa mastaa wanaoshika namba moja kwenye kufanya colabo nyingi zaidi duniani.

Kupitia interview aliyofanyiwa na kituo cha radio #NewYork Chris aliulizwa kuhusu colabo anazofanya na anavyotengeneza pesa.

Chris Brown analipisha dola laki 250,000 mpaka laki 300,000 [558,028,510.77 za Tanzania] kwa colabo moja, hii inategemea na makubaliano yenu.

Pia baada ya malipo hayo, Chris huchukua asilimia flani kutoka kwenye mauzo ya colabo hio kama itakuwa HIT.

Chris hufanya hivi kutokana na colabo zake kuwa rekodi kubwa na kushika namba za juu kwenye chati za billboard.

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open