Burudani

Video,Harmonize Wa WCB Wasafi Akiongelea maana ya Tattoo Zake na Zote.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Tattoo imekuwa sehemu ya pambo zuri la kuweka kwenye mwili wako kama uko tayari kuvumilia maumivu kidogo wakati inachora.

Watu maarufu duniani wamekuwa mstari wa mbele kwenye kutumia sana hii kama namna ya kuweka kumbukumbu ya mambo tofauti kwenye miili yao. Harmonize wa WCB naye ana tattoo ambazo anatuelezea kwanini alizichora na zina maana gani kwenye mwili wake.

#WatuMaarufuNaTattoo

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open