Burudani

Itazame hapa video mpya ya Ice Boy Ft Nandy ‘Binadamu’ Enjoy.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rap staa anayefanana na 2 Pac ‘Ice Boy‘ anaendelea kutoa rekodi kali kila siku kama njia ya kuweka alama kwenye muziki wa Rap Tanzania.

Hii video ya wimbo wake mpya na Muimbaji ‘Nandy‘ rekodi inaitwa ‘Binadamu‘. Video imeandaliwa na Motion Pictures Entertainment.

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open