Burudani

Picha za Janet Jackson mtaani kwa mara ya kwanza baada ya kujifungua…

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya kujifungua mtoto wake wa kwanza akiwa na miaka 50, pop staa Janet Jackson ameonekana anje kwa mara ya kwanza akifanya manunuzi ya vitu vya mtoto mjini London Uingereza.

Janet na mume wake billionaire Wissam Al Mana ’42’ wamepata mtoto wao wa kwanza na wakiume #Eissa.

Janet na Wissam Al Mana,walifunga ndoa mwaka 2012 .

 

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open