Burudani

Jibu la Jay Z baada ya kuulizwa kuhusu Rais Donald Trump…

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Akiwa kwenye mahojiano ya kutangaza Documentary mpya aliyoanda ya  “TIME: The Kalief Browder Story,”  Jay Z ambaye ni mpambe mkubwa wa Rais President Barack Obama aliulizwa mtazamo wake kuhusu Rais wa 45 wa Marekani Donald Trump.

Jay Z ambaye pia alishiriki kwenye kampeni ya Hillary Clinton alikata kujibu swali kuhusu Rais Donald Trump nakusema “We’re not gonna answer that,” Akimaanisha “Hatuta jibu hilo swali” nakuamua kuondoka huku meneja wa Studio hizo Harvey Weinstein akisisitiza “Mimi na Jay Z tuko hapa kuongelea kazi yetu na sio jambo lingine lolote“>>> “This is a labor of love for Jay and I. We’re here to talk about that and nothing else.”

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open