Burudani

Itazame hapa video ya wimbo wa Linah ‘Kosa Sina’ Enjoy…

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Bongo Fleva Diva Linah Sanga ameachia video mpya ya wimbo “Kosa Sina”, video imeongozwa na Khalfani Khalmandro ni iko kwenye mtindo wa rangi mbili tu, Black And White.

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open