Burudani

Ommy Dimpoz kafunguka kama anaweza kuingia studio na msanii wa WCB ya Diamond Platnumz.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Boss wa Lebo ya PKP Ommy Dimpoz amesema ata baada ya kuwa na tofauti kibao kati yake na Bongo Fleva staa Diamond Platnumz, bado anaweza kuzama studio na kufanya colabo na msanii wa lebo yake ya WCB.

Kupitia #PlanetBongo #EARadio Ommy Dimpoz amesema “Sio Nedy hata mimi naweza kufanya kolabo na wasanii wa WCB kwa sababu mwisho wa siku hii ni biashara, unapoona hapa anatakiwa kukaa masanii fulani unamtafuta ili kupata kitu kizuri zaidi,”.

kwa sasa Ommy anarekodi kwenye tv na radio #Kajiandae akiwa na Ali Kiba…

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open