Burudani

Picha za birthday ya Rick Ross,gari yake mpya, keki yenye Dhahabu na mastaa waliohudhuria…

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mastaa kama Usher, Meek Mill na Young Jezzy wamehudhuria sherehe ya siku ya kuzaliwa ya The Boss Rick Ross akiwa anatimiza miaka 41.

Sherehe imefanyika kwenye jumba lake la kifahari huko Fayetteville,

Masta walivaa Mask tofauti kama sehemu ya kusherehesha watu walioalikwa,Wale,  YG, Jeezy, Outkast>Big Boi, Big K.R.I.T., DeJ Loaf, Yung Dolph,na Curren$y, The Dream walikuwepo.

Mwanasiasa Congressman Hank Johnson, naye alikuwepo. Rozay kutoa album yake mpya Rather You Than Me, mwaka huu.

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open