Burudani

Picha,Ferrari mpya aliyopewa Rick Ross na kampuni ya Luc Belaire baada ya kutimiza miaka 41.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rapa Rick Ross amefikisha umri wa miaka 41 mmezi huu na kupewa gari mpya aina ya Ferrari kama zawadi ya siku yake ya kuzaliw na kampuni ya kinywaji cha Belaire.

Rozay ni balozi wa Luc Belaire Kinywaji kutoka Ufaransa.

Kupitia instagram yake Rozay aliweka picha hizi mbili za gari hio ikiwa nje ya nyumba yake mjini Atlanta, Georgia.

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open