Burudani

Vanessa Mdee kusikika kwenye mixtape ya producer mkubwa Afrika.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Producer maarufu Afrika na Dunia nzima kwa kutengeneza muziki wa wasanii kama WizKid ‘LegenduryBeatz‘ anatengeneza mixtape yake mpya na msanii kutoka Tanzania #VanessaMdee ataimba kwenye mixtape hio.

Producer huyu kutoka Nigeria anafanyia kazi zake nchini Uingereza na Mixtape hiyo imepewa jina la ‘Legendury Beatz’.

Kupitia mtandao wao wa Instagram, wathibitisha “Of course the sexy @vanessamdee all the way from Tanzania, came through saucin on the #Afropop101 ????certainly certified!!! ????????????????????????✅ #LegenduryBeatz.

Wasanii wengine watakaosikika katika mixtape hiyo ni pamoja na Mr Eazi, Simi, Niniola, Timaya na Wizkid >>Nigeria na R2Bees>>Ghana.

 

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open