Burudani

Wema Sepetu karudi Instagram, picha na ujumbe wake wa kwanza uko hapa….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Staa wa filamu Tanzania Wema Sepetu amevunja ukimya wa muda mrefu kwenye mtandao wa Instagram, Wema ameweka post mbili za kufungua mwaka 2017 huku akiwaahidi mashabiki wake mambo mazuri ndani ya mwaka huu.

Wema mwenye followers milioni 2.5 kwenye instagram ni miongoni mwa watu maarufu wanaofuatiliwa zaidi kwenye mtandao huo.

Ijumaa hii amepost picha za kwanza ndani ya mwaka huu na kuandika zikiwa na ujumbe… “Happy 2017… and am excited.. how Many Likes?? Share from. This one and am gonna Tell You something to Celebrate for the whole Year…. #WSSoCloseToYou #WSladieschoice #WSyourAddiction #unataka kusikia jambo zuri kutoka kwangu kwa mwaka 2017? Gonga Likes za kutosha and nitarudi kukung’ata sikio… This be your First Image…. There is plenty of these Just for You…. I missed You

Je wewe ni miongoni mwa watu wanaomfuatilia Wema ?….

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open