Burudani

WizKid afanikiwa zaidi kwenye soko la kimataifa kuliko Davido.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

StarBoy WizKid amekuwa msanii wa Nigeria mwenye mafanikio zaidi kwenye soko la kimataifa kuliko mshindani wake mkubwa Davido ambaye hivi karibuni alitangaza rasmi kuacha kukimbiza soko hilo.

Wiki Hii mtandao mkubwa wa muziki na habari ‘HipHopDx‘ umeripoti kuwa wimbo mkubwa Marekani wiki hii ni wimbo uliovuja wa Wizkid & DrakeHush Up the Silence”.

Kwenye Interview mwaka 2016 Wizkid aliniambia amefanya kazi Nne na Drake ambazo bado hazijasikika.

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open