Burudani

Muimbaji kutoka Nigeria Yemi Alade kuhudhuria tuzo za Grammy mwaka huu…

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Muimbaji kutoka Nigeria Yemi Eberechi Alade,amealikwa kuhudhuria tuzo za Grammy za 59 zinazofanyika February 12, 2017 Staples Center mjini Los Angeles, ncini Marekani.

Haijajulikana kwa kiwango gani Yemi atahudhuria tuzi hizi ila fahamu kuwa mwaka 2016

WizKiid afanikiwa zaidi kwenye soko la kimataifa kuliko Davido.

StarBoy WizKid amekuwa msanii wa Nigeria mwenye mafanikio zaidi kwenye soko la kimataifa kuliko mshindani wake mkubwa Davido ambaye hivi karibuni alitangaza rasmi kuacha kukimbiza soko hilo.

Wiki Hii mtandao mkubwa wa muziki na habari ‘HipHopDx’ umeripoti kuwa wimbo mkubwa Marekani wiki hii ni wimbo uliovuja wa Wizkid & Drake “Hush Up the Silence”.

Kwenye Interview mwaka 2016 Wizkid aliniambia amefanya kazi Nne na Drake ambazo bado hazijasikika.

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open