Michezo

Neymar na PSG, mecho alizocheza, magoli aliyofunga na nafasi alizotengeneza.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mpaka sasa Neymar ameweza kufunga magoli na kutengeneza nafasi za wachezaji wengine kufunga magoli kwenye klabu yake mpya ya PSG, haya mambo 6 ambayo mpaka sasa Neymar ameweza kufanya vizuri kwenye Ligue 1 na PSG Mpaka sasa.
Mechi 4
Pasi 287
Nafasi Alizotengeneza 22
Goal Shots 14
Magoli 4
Assists 4

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open