Burudani

#AllHipHop inaripoti kuwa staa wa HipHop Nicki Minaj anaujauzito.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Tovuti ya #AllHipHop inaripoti kuwa staa wa HipHop Nicki Minaj anaujauzito na kwamba mpaka sasa tetesi hizi zimethibitishw kutoka kwa chanzo kinachoaminika.

Taarifa inasema Nicki Minaj alijua ana mimba mwishoni mwa mwezi wa 12 mwaka 2017 na anampango wa kutoa taarifa rasmi kwenye tuzo za Grammy mwaka huu.

Pia hivi karibuni pamekuwa na uvumi kuwa Nas Na Nicki Minaj wanagombana sana kutokana na Mood Swing za Nas.

Sababu nyingine iliyopelekea mapaparazzi kuamini taarifa hizi ni kutokana na Nicki Minaj kupotea kabisa kwenye mitandao ya kijamii hivi karibuni.

Tutajua zaidi kabla mwaka huu, mimba haijifichi.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open