Burudani

Colabo ya Remy Ma na Lil Kim ni DISS Kali kwa Nicki Minaj, dili kubwa alilopata Remy, viko hapa

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rapa Remy Ma asaini mkataba mkubwa na lebo ya Columbia Records na imeripotiwa kuwa anajipanga kutoa Diss nyingine kwa Nicki Minaj atakayo mshirikisha Lil Kim.

Wimbo huo umetajwa kuwa ni ‘Wake Me Up’ Ft Lil’ Kim na tayari wamefanya video ya wimbo huo.

Baada ya mashairi yanayomlenda Nicki Minaj ni pamoja na “That crown, I’m gon’ take that shit / ‘Cause you a clown and homie don’t play that shit.

Mistari hii ina DISS mahusiano ya Nicki Minaj na Nas “I heard he lay that dick, You let them filet that fish / You just met him, how he bae that quick?

Tayari Remy na Nicki wameshabadilishana maneno kupitia Diss track zao “shETHER,” “Another One,” na “No Frauds.”

Kinachosubiriwa kwa sasa ni album mpya ya Remy  Seven Winters, Six Summers,

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open