Burudani

Nicki Minaj; natamani kushinda tuzo 13 kama Drake….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Kwenye interview na Dj Whoo Kid, Young Money super star Nicki Minaj amesema yeye,Drake na Lil Wayne wanapeana ushawishi na kuhamasishana kufanya vizuri zaidi kila wakati.

Minaj amekuwa karibu na wasanii hawa wawili toka kuvunjika kwa mahusiano yake na rapa Meek Mill.

Kwenye Interview hii Nicki ameongelea tuzo 13 alizo shinda Drake pamoja na album mpya ya hiphop anayotaka kufanya, Minaj anasema tuzo 13 za Drake naye anazitamani pia na kwamba anakuja na album kali ya hiphop itakayokuwa CLASSIC.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open