Burudani

Nicki Minaj aanza kusifia album yake mpya ‘The album is so F**king GOOD’….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Kuelekea kutoka kwa album yake mpya yenye colabo za mastaa wakali wa Rapa, Msanii wa Young Money Nicki Minaj amesema haya maneno kuhusu album yake mpya  “The album is so F**king GOOD!” akimaanisha >Album yangu ni Nzuri Sana. 

Hii itakuwa album ya kwanza ya Nicki Minaj toka mwaka 2014 alipotoa, The Pinkprint na Album yake ya Nne kama solo artist,

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open