Burudani

Maneno ya Nikki Wa Pili,Mwana FA,Idris Sultan na Wema Sepetu kuhusu shambulio la Tundu Lissu

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya Mbunge wa Singida Mashariki ambaye pia ni Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, Tundu Lissu kupigwa risasi na watu wasiojulikana mchana wa leo Dodoma, wasanii mbalimbali wamekuwa wakielezea masikitisho yao juu ya tukio hili.

Kupitia Twitter Nikki Wa Pili, Mwana FA , Idris Sultan na Wema Sepetu wameandika maneno haya

Nikki Wa Pili

Idris Sultan

Wema Ametumia Instagram

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open