Burudani

Nuh Mziwanda amethibitisha alilala na Shilole….ni matusi kwa Uchebe

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Staa wa Bongo Fleva ambaye ni Ex wa Shilole, Nuh Mziwanda leo asubuhi ameweka ujumbe kuhusu kulala na Ex wake Shilole ambaye usiku wa 7 December 2017 alifunga ndoa na mpenzi wake Uchebe.

Kwenye Instagram ya Nuh Mziwanda ameandika >“Alie LaLa na BiBi harusi’wiki Moja KabLa ya harusi’Na wala sio Bwana Harusi’Bado mnanishauri harusi 😏 (all girls are pretenders )”

Kauli hii imekuja saa kadha baada ya Shilole kufunga ndoa na Uchebe ikiwa ni siku chache tu baada ya skendo kusamba kuhusu Nuh Mziwanda kukutana na Shilole pamoja na picha zao mpya kusamba.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open