Habari

Picha za ndani na nje ya nyumba ya Obama atakapoishi na familia yake kwa muda wa miaka miwili….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Aliyekuwa rais wa Marekani President Barack Obama na familia yake wameendelea kuishi mjini Washington DC na kununua nyumba waliyokuwa wanaishi toka January mwaka huu.

Nyumba hii inavyumba tisa vya kulala, mabafu nane, ipo maeneo ya Upmarket Kalorama na Obama amelipia dola za Kimarekani milioni $8.1m (£6.2m).

Familia ya Obamas watabaki Washington mpaka mtoto wake mwenye miaka 15 #Sasha atakapomaliza shule ya sekondari.

Taarifa hii imethibitishwa na msemaji wa Obama, Kevin Lewis ambaye amesema Mteja wake atakuwa Washington kwa miaka miwili na nusu.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open