Burudani

Picha na Video, OFFSET wa Migos ametumia dola $550,000 kununua PETE ya uchumba aliyomvalisha mpenzi wake CARDI B

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

TMZ imeripoti kuwa rapa OFFSET wa kundi la Migos ametumia dola $550,000 kununua PETE ya uchumba Ya ALMASI aliyomvalisha mpenzi wake CARDI B

Cardi B na Offset waliripotiwa kuachana na muda mfupi na kurudiana na baada ya siku saba walikuwa mtu na mchumba wake.

Wiki hii Cardi B alienda kwa Sonara kurekebisha pete hio ili imteshe vizuri kwenye kidole chake, hii video akiongelea pete hio na almasi zilizowekwa.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open