Burudani

Olamide; Niliacha chuo sababu wazazi walishindwa kulipa Ada

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rapa kutoka Nigeria Olamideamefunguka juu ya hali ya maisha yake alivyokuwa mwanafunzi wa chuo huko Nigeria.

Akiongea na wanafunzi wa chuo cha Akin Ogunpoola Model College, Olamide amesema Nimefikia mafanikio niliyonayo kutokana na juhudi na kujituma kupitia kipaji changu, nimetoka kwenye familia yakimasikini sana, niliacha kusoma kwenye chuo cha Tai Solarin University of Education,sababu wazazi walishindwa kunilipia ada

Olamide ni miongoni mwa wasanii wa Rap/HipHop wanaolipwa zaidi Afrika, Baadhi ya majarida ya HipHop yanamuweka namba moja kwenye orodha ya wasanii wakubwa wa Rap na HipHop.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open