Burudani

Povu la Ommy Dimpoz baada ya WASAFI Kutoa wimbo mpya ‘Zilipendwa’ Liko hapa..

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Ommy Dimpoz ametumia picha ya mnyama TEMBO akivamiwa na SIMBA zaidi ya Sita kuelezea STORI Ya jinsi WCB Wasafi walivyopambana na Wimbo wa Ali Kiba kama kundi, ikiwa ni siku chache tu toka amejiita Baba yake Diamond Platnumz.

Hii imekuwa kama kituko katika hili beef lao linaloendelea muda huu ,wakishindana kwenye kutoleana mapovu na sasa limehamia kwenye kutoa Nyimbo.

HII NDIO ZILIPENDWA.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open