Burudani

Ushahidi, Omarion kutoka Marekani amefanya colabo na Diamond Platnumz, Video je….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Akiwa Dar es salaam Tanzania kwaajili ya Show yake ya Omarion Live In Dar, Staa huy wa Rnb amefanya colabo na Diamond Platnumz,

Kwenye IG Ya First Lady wa WCB Wasafi, Kinaonekana kipande kidogo cha Video Hii, Tayari Diamond amefanya video na Rick Ross, sasa ni Omarion, Next atakuwa CHRIS BROWN ?

Bonyeza PLAY Kutazama

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open