Burudani

Video,P Diddy amebadilisha Tena Jina lake la kisanii

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Katika siku yake ya kuzaliwa Diddy ambaye ndio msanii wa hiphop mwenye pesa nyingi zaidi akiwa na thamani ya dola bilioni moja ametangaza jina lake jipya.

Diddy anasema ‘Leo rasmi nitaanza kuitwa Love a.k.a. Brother Love, sitaitika tena nikiitwa Puffy, Diddy, Puff Daddy au jina lingine lolote’

Tazama video akiongea mwenyewe.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open