Burudani

Video, Nicki Minaj amchana Remy Ma nakusema Papoose aliandika diss ya ‘SHETHER’….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Beef kubwa kwenye hiphop katika ya Nicki Minaj na Remy Ma linaendelea, wiki hii rapa 2 Chainz amefanya listening party ya album yake Pretty Girls Like Trap Music’ na kwenye wimbo “Realize” Nicki Minaj anasikika akisema “Nimekuwa nikishinda kwa miaka nane mfululizo, nipe heshimu hilo, Papoose kaandika rekodi ya ETHER”….

Hili limetajwa kuwa jibu la kwanza Official kutoka kwa Nicki Minaj kuhusu beef yake na Remy Ma.

Remy Ma alitoa diss kali ya “SHETHER” kwa Nicki Minaj na ilisemekana kuwa mume wake Papoose ndiye aliandika rekodi hio.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open