Michezo

Pep Guardiola; kwa mara ya mwisho sina mpango wa kurudi Barcelona…

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Kocha wa Barcelona Luis Enrique yupo kwenye wakati mgumu baada ya timu yake kufungwa 4-0 na PSG na sasa pamekuwa na maswali kuhusu Pep Guardiola kurudi Camp Nou.

Guardiola anasema bado anaimani Barcelona ni timu bora duniani ata kama wamefungwa 4-0 na PSG.

Enrique ameshinda makombe mawili ya La Liga nachampions league akiwa na Barcelona, ila kwa sasa anapewa wakati mgumu na klabu ya Real Madrid kwenye ligi…

Guardiola alisema I will never go back to Barcelona to be coach there. My period there is gone,Barcelona bado ni timu bora duniani na wataendelea hivyo, wamekuwa wakifanya hivyo kwa miaka 10 sasa“.

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open