Habari

Picha,Mohammed Dewji alivyokutana na Bill Gates na alichoandika IG…..

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mfanya biashara mkubwa Tanzania na tajiri sana, Mohammed Dewji amekutana na Mwanzilishi wa kampuni ya Microsoft, mtu tajiri zaidi duniani na mwanzilishi wa mashirika yasiyo ya kiserikali Bill Gates.

 

Kupitia Instagram yake Mohammed Dewji aliandika huu ujumbe mfupi kwa Lugha mbili  Humbled and inspired to be learning first hand from Bill Gates about his impactful philanthropic work globally today at the Giving Pledge Annual Gathering. // Ninafarijika na kuhamasika kujifunza kutoka kwa #BillGates hasa leo kwenye mkutano mkuu wa #GivingPledge, pia kupata maarifa juu ya namna ya kuboresha maisha ya wahitaji duniani

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open