Burudani

Blogs Nigeria wanasema wasanii wa P Square hawata weza kufanikiwa kama Solo Artist

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Waandishi na wadau wa muziki Nigeria wanasema wasanii wa kundi la P Square hawata weza kufanikiwa kama Solo Artist.

Kupitia makala tofauti zilizochapishwa toka P Square kusambaratika na Peter Okoye kutoa wimbo wa ‘Cool It Down’, wadau hawana imani na wasanii hawa wawili kuweza kumudu soko la muziki Nigeria, kuweza kushindana na Olamide, WizKid, Davido, Tiwa Savage, bila kusimama kama Kundi la P Square.

Swali walilojadili ni “How Far Will Former Psquare Members Peter And Paul Go As Solo Artistes?”.

Wiki hii Davido alionyesha kukubali wimbo mpya wa Peter Okoye  Cool It Down, kwa kuandika SnapChat “This song wan use style sweet… can’t lie”.

Unadhani P Square wataweza kung’ara kama Solo Artist

#StoriBy Melisa On #SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open