Burudani

Prince kupewa tuzo ya heshima ya Grammy

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Ikiwa ni miezi kadha baada ya kifo chake, msanii Prince ametajwa kutunukiwa tuzo ya heshima katika tuzo za Grammy mwaka huu.

Wasanii tofauti wataimba na kutumbuiza kwenye show hio kwa kutumia nyimbo za Prince mnsamo Feb. 12

Baada ya tuzo hio kutolewa kwa Prince, kampuni za kusikiliza na kutazama muziki kama Spotify, Apple Music na YouTube zitatumiwa show hio kama sehemu ya kutangaza muziki mpya wa Prince.

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open