Michezo

Picha kutoka kwenye mechi ya PSG Vs Metz, Cavani, Mbappe na Neymar

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

PSG wanaendelea kushinda mechi zao kwenye Ligue 1 baada ya kuwatandika 5-1 klabu ya  Metz, hizi picha za kutoka kwenye mechi hio, mastaa Cavani, Mbappe na Neymar walifunga.

Magoli ya Metz Kutoka kwa

  • Rivière (37′minutes), 

Magoli ya PSG Kutoka kwa 

  • Cavani (31′minutes, 75′minutes), 
  • Mbappe (59′minutes), 
  • Neymar (69′minutes), 
  • Lucas Moura (87′minutes)

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open