Burudani

Kundi la Rae Sremmurd limekanushu kuvunjika,album mpya inakuja

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Wasanii wa kundi la rapa la Rae Sremmurd wamethibitisha kuwa kundi hilo halivunjiki na kwamba wanafanya album mpya.

Palikuwa na taarifa zisizo rasmi kuhusu kutengana kwa wasanii Swae Lee na Slim Jxmmi na kuvunjika kwa kundi lao la Rae Sremmurd.

Wakihojiwa na Paparazzi kwenye kiwanja cha ndege cha LAX Rae Sremmurd walisema wamekaa number moja kwenye chati kwa wiki saba, wamefanya show 40 mpaka sasa kwenye tour yao, album mpya “SremmLife 3” inakuja.

Man Water Amchana Diamond Platnumz kuhusu kushindana na AliKiba

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open