Burudani

Wapiga kura waliopoteza vitambulisho vya kupigia kura watapata fursa ya kupiga kura katika uchaguzi mdogo wa Madiwani

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Wapiga kura waliopoteza vitambulisho vya kupigia kura watapata fursa ya kupiga kura katika uchaguzi mdogo wa Madiwani wa kata 43 unaotarajiwa kufanyika Novemba 26, mwaka huu.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Ramadhani Kailima mjini Dodoma katika mafunzo ya siku tatu kwa wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi yanayoratibiwa na kuendeshwa na NEC.

Kailima amesema wapiga kura hao wataruhusiwa kutumia vitambulisho vya uraia vinavyotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), hati ya kusafiria na leseni ya udereva.

Alichosema BillNass kuhusu Colabo ya Diamond Platnumz X Rick Ross 

Izzo Bizness Azungumzia Shavu La Coke Studio Africa, Awasifia WCB Kwa Kunyaka Colabo Na Rick Ross

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open