Burudani

Picha, J Cole akutana na shabiki mwenye Saratani

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Hizi Picha za rapa J Cole alivyokutana na shabiki mwenye Saratani  baada ya kuombwa na baba wa mtoto huyo.

Mr. Dollar and a Dream wamefanikisha ndoto za mtoto wa Robert Griffin baada ya kumuomba J. Cole kukutana na mtoto wake Collin ambaye anaugua na Saratani ya Stage ya NNE ili kumpa moyo.

Mtoto huyu alipata nafasi ya kuongea na J. Cole kwenye backstage ya ziara yake ya “4 Your Eyez Only Tour”.

 

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open