Burudani

Hivi ndio vitu vitano alivyozikwa navyo Legend wa muziki wa Reggae, Bob Marley

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Legend wa muziki wa Reggae, Bob Marley aliomba siku anazikwa pawe na vitu vitano maalum atakavyo zikwa navyo.

Matakwa haya ya Bob Marley yalifwatwa na familia yake wakati anazikwa na kuhakikisha Star huyu muhimu duniani kwenye Muziki alizikwa na vitu vitano ambavo ni

1] Mpira wake wa Miguu

2] Guitar la Les Paul ambalo baadae palizuka repoti kuwa lilikuwa guitar la [Fender Telecaster]

3] Bible Mmoja

4] Msokoto wa Bangi

5] Pete aliyopewa na Prince Asfa Wossen Wa Ethiopia

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open