Burudani

Rekodi pekee aliyoweka Cardi B kwenye chati muhimu za billboard iko hapa

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya kuwa na rekodi ya kuwa msanii wa rap wa Kike wa pili kushika namba 1 kwenye chati za Billboard Hot 100 Bila Colabo sasa Cardi B ameweka rekodi nyingine ya Pekee.

Cardi B amekuwa msanii wa kwanza wa kike wa Rap/HipHop kuwa na nyimbo alizohusika tatu za kwanza kuwa kwenye top 10 ya chati za billboard Hot R&B/Hip-Hop

Hizi nyimbo tatu “Bodak Yellow (Money Moves),” No. 2, Migos Ft Cardi B na Nicki Minaj “MotorSport,” iko No. 5 na G-Eazy ,A$AP Rocky Ft Cardi B “No Limit,”  iko No. 10.

Kwa upande wa wanaume msanii wa kiume kufanikiwa kuwa na rekodi hii ni Fetty Wap mwaka 2015, kupitia “Trap Queen,” ,  “My Way,” na “679”

Cardi B amejiunga kwenye orodha ya wasanii kama Beyoncé, Rihanna, Nicki Minaj, Iggy Azalea, na Ashanti kwenye rekodi kama hizi.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open