Burudani

Remy Ma akanusha kuandikiwa diss ya ‘SHETHER’ na Papoose…

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rapa Remy Ma amekanusha vikali kauli ya Nicki Minajkuwa ameandikiwa diss ya ‘SHETHER’ na mume wake ambaye ni hiphop staa Papoose.

Remy Ma anayetoka Bronx New York anasema alikuwa rapa mkali na alitoa ngoma kali tu kabla hajakutana na Papoose so vipi tena ndio awe ghostwroter wake na mpaka kuandika “shETHER.” ?

Remy Ma anasemaWatu wanajua Papoose niboge moja la rapa mkali ila hawajawahi kumpa heshima yake, sasa baada ya kuona ngoma kali ya Diss ndio mnaleta kimbele mbele oooh kaandika Papoose, mlikuwa wapi ?, pia ifahamike nliandika vesi kali kama ya ‘Lean Back’, ‘Conceited’,  ‘Whuteva’, ‘Ante Up’ remix,na mixtape zangu zote kabla sijakutana na Papoose, so hizo pia aliandika?

Beef la Nicki Na Remy linaendelea….
Exclusive, Stereo Afunguka kuhusu kujiunga WCB WASAFI, Aliyesababisha Colabo na Rich Mavoko,Nani mkali kati ya Godzila Na Wakazi ?

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open