Burudani

Remy Ma afufua beef lake na Nicki Minaj,

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rapa Remy Ma amefufua beef lake na Nicki Minaj kwenye tuzo za video bora za MTV zilizofanyika Aug 27,

Rapa huyu alikuwa akitambulisha kipengele flani na mtangazaji Terrence J na alijikuta akipangiwa kusema ‘Nicki, What’s Good‘ mstari ambao Nicki aliwahi kuutumia kwenye beef lake na Miley Cyrus kwenye tuzo za Video za MTV mwaka 2015.

Mashabiki wa Nicki Minaj wamechukizwa na jambo hili sababu wanaimani Remy anatumia KIKI la Nicki Minaj kutangaza muziki wake.
Man Water Amchana Diamond Platnumz kuhusu kushindana na AliKiba

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open