Burudani

Meek Mill kutimuliwa MMG Ya Rick Ross,Sababu iko hapa…

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako
Rapa Rick Ross amechukizwa na kitendo cha msanii wake Meek Mill kuwepo kwenye stage mmoja na rapa 50 Cent jumapili iliyopita mjini Miami.
Kupitia twitter Rick Ross aliandika maneno makali kuhusu usaliti huu alioufanywa na Meek Mill “When you switch sides, you better stay there” akimaanisha ukibadilisha upande , Baki huko huko.
Meek Mill na 50 Cent walikuwa kwenye party ya mcheza kikapu wa timu ya Houston Rockets ‘James Harden’ na wasanii wengine kama Chance The Rapper, Young Jeezy, na Trey Song huku ikifahamika wzi kuwa 50 Cent ni hasimu mkubwa wa Rick Ross na wana beef kubwa sana, Meek Mill kama msanii wa Rozay hakutakiwa kuwa karibu na 50 Cent.
#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open