Burudani

Rick Ross amchana Birdman,amwambia amlipe Lil Wayne pesa zake.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rick Ross amemchana hasimu wake mkubwa Birdman baada ya boss huyu wa Cash Money kusema asiingiliwe kwenye mamo yake na Lil Wayne.

Rick Ross kajibu kauli hio ya Birdman kwa kumwambia ‘Aache maneno mengi, amlipe Lil Wayne pesa zake’.
Maneno ya Rick Ross anasema ‘Kijana umechelewa kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa na miaka mitano ya kuchelewesha pesa za Lil Wayne, mlipe jamaa pesa zake, tunajua unakosea, acha utani, hayo maneno yako hayana maana hapa, tutakuweka mahali pengine kabisa, funga mdomo na ulipe pesa za watu’.

Beef la Rick Ross na Birdman limekolezwa na diss track ya Rick Ross kwa Birdman kuwa ni mtu mbaya, mwizi na mnafki katika wimbo wa Idols Become Rivals.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open